Watangazaji wa Clouds FM wakijitambulisha kwa wanaclouds waliojitokeza kwa wingi katika viwanja vya Mwembeyanga,Temeke

Barbara Hassan,PJ,Mbwiga Mbwiguke na Zamaradi wakiwasalimia mashabiki katika viwanja vya Mwembeyanga,Temeke.

Suzy Baltazar akiwasalimia mashabiki waliofika kwenye viwanja vya Mwembeyanga,Temeke.Millard Ayo akiwasalimia mashabiki waliofika katika viwanja vya Mwembeyanga,Temeke katika kilele cha sherehe za miaka 14 ya clouds fm.Mbwiga Mbwiguke akicheza ndombolo.Musa Hussein akiwasalimia mashabiki wa clouds.

Views: 2091

Comment

You need to be a member of CLOUDS FM - 88.5 to add comments!

Join CLOUDS FM - 88.5

© 2016   Created by CLOUDS FM - 88.5.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

Offline

Live Video