Members

Forum

BONGO FLAVA NA HIP HOP KUNA TOFAUTI?

Started by Clouds FM. Last reply by nayeem islam on Sunday. 9 Replies

Funguka kuhusu hapoContinue

JE NI KWELI?

Started by Clouds FM. Last reply by nayeem islam on Sunday. 10 Replies

.Continue

UJINGA NIII.....!!!

Started by Clouds FM. Last reply by sulicia bentley Mar 19. 4 Replies

Malizia Hapo???Continue

WANANCHI WAVAMIA KITUO CHA POLISI KIBITI, WACHOMA NYUMBA ZA ASKARI

Kundi la wananchi waliojawa na gazabu wamevamia kituo cha Polisi Kibiti Wilayani Rufiji na kuleta vurugu kubwa kufuatia raia mmoja kufa kwa kile kilichodaiwa kipigo cha Polisi.

Chanzo chetu cha Habari kutoka Kibiti kimeeleza kuwa kijana aliyefariki kutokana na kipigo hicho ni Hamis Mpondi ambaye mauti yamemfika wakati akipatiwa matibabu Hospitali ya Muhimbili.

Habari zaidi zinapasha kuwa hivi sasa wananchi hao wanateketeza nyumba za Askari Polisi hao zilizopo jirani na kituo hicho, licha ya juhudi za Polisi kuwatawanya kwa mabomu kuendelea kufanyika.

Aidha wananchi hao wameanza kufunga barabara kuu ya Kilwa iendayo Mikoa ya Kusini, Lindi na Mtwara kwa mawe, magogo na kuchoma matairi ikiwa ni umbali wa kama kilometa moja kutoka kituo cha Polisi Kibiti.

Hali inaelezwa kuwa inazidi kuwa tete huku Polisi wa Kibiti wakiendelea na jitihada za kudhibiti hali hiyo kwa kufyatua mabomu hewani kujaribu kutawanya umati huo wa watu.

Views: 139

Comment

You need to be a member of CLOUDS FM - 88.5 to add comments!

Join CLOUDS FM - 88.5

Comment by Onesmo adriano ndagiwe on January 24, 2013 at 9:39pm

ila tatizo la hii nch yetu polisi hujichukulia madaraka yao mkonon pasipo kujua kam wananchi wanachukizwa matokeo yake ndo vurugu kama hizo?

© 2013   Created by CLOUDS FM - 88.5.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

Online

Live Video