Started by Clouds FM. Last reply by dfsdfsfdfdfs 6 hours ago. 6 Replies 0 Likes
Started by Clouds FM. Last reply by dfsdfsfdfdfs 6 hours ago. 12 Replies 2 Likes
Funguka kuhusu hapoContinue
Started by Clouds FM. Last reply by dfsdfsfdfdfs 6 hours ago. 12 Replies 5 Likes
Started by Clouds FM. Last reply by dfsdfsfdfdfs yesterday. 6 Replies 2 Likes
Malizia Hapo???Continue
Waziri wa Maji na Umwagiliaji nchini Prof. Jumanne Magembe amesema Serikali imejipanga vyema kuhakikisha inapunguza kama si kuondoa kabisa tatizo la uhaba wa maji nchini.
Waziri Magembe ameyasema hayo jana mbele ya Waziri wa Maji na Umwagiliaji wa Serikali ya Misri Prof. Dr. Mohamed Bahaa El-Din Ahmed pamoja na wananchi wa kijiji cha Mandang’ombe kilichopo wilayani Maswa mkoani Simiyu wakati wa Ufunguzi wa visima 30 katika maeneo ya wilaya sita kame Tanzania, vilivyochimbwa kwa msaada wa serikali ya Misri.
Takwimu za upatikanaji wa maji katika Wilaya zilizochaguliwa kwenye mradi huo hadi mwezi Disemba 2011 wilaya zilizomo kwenye miradi zinaonyesha kuwa na hali ni ya mvua zisizoridhisha.
Nae Waziri wa Maji na Umwagiliaji wa Serikali ya Misri Prof. Dr. Mohamed Bahaa El-Din Ahmed amepongeza ukamilishwaji wa mradi huo, ambao umagharimu jumla yak dola za kimarekani milioni moja.
Tanzania na Misri zimekuwa zikishirikiana katika Nyanja mbalimbali za kisiasa , kilimo cha umwagiliaji, pamoja na mpango wa madaktari wa kujitolea ambapo madaktari kutoka Nchini Misri huja nchini kutoa huduma mbaalimbali.
Comment
Comment by Mpaju on January 18, 2013 at 11:10pm Msaada huo ni wastani wa 2,000,000,000, au kama thamani ya shilingi za kitanzania milion 67, kwa kila kisima! Pongezi za kutosha kwa jitihada hizo! Lakini mimi ningependa kuchangia kidogo kwenye misaada ya namna hii! Tutakuwa tunasaidiwa mpaka lini kwenye vitu kama kuchimba kisima! naona ni kama mtu anakuingizia umeme chumbani, wakati unahitaji kuboresha choo na wigo, anaingia mpaka chumbani.Je? Hawezi kuwa na agenda nyingine? Kuna imani kuwa Hakuna kitu cha bure/msaada duniani! tusije ingia deni kubwa kwa ajili ya kitu ambacho kiko ndani ya uwezo wetu! misaada iangaliwe vizuri, naamini utaalamu huo upo! Naamini si hekima kukubali kila kitu au kukataa kila kitu, kama vile kuombaomba kila wakati!
© 2013 Created by CLOUDS FM - 88.5.
Powered by


You need to be a member of CLOUDS FM - 88.5 to add comments!
Join CLOUDS FM - 88.5