HALI YA AFYA YA NELSON MANDELA IKO VIZURI LEO – JACOB ZUMA

Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma anasema kwamba hali ya afya ya Mandela ya sasa imekuwa nzuri lakini ni ya kutia matumaini “Anaendelea vizuri leo kuliko alivyokuwa nilipomuona jana usiku” alisema rais Zuma baada ya kuongea na timu ya madokta wa Mandela mwenye miaka 94.
Rais huyo wa kwanza wa Afrika kusini aliyeongoza mapambano ya kupinga ubaguzi nchini humo (anti-apartheid) amekuwa hospitali huko Pretoria tangu Juni 8 akiwa anasumbuliwa mapafu.

Views: 305

Comment

You need to be a member of CLOUDS FM - 88.5 to add comments!

Join CLOUDS FM - 88.5

© 2016   Created by CLOUDS FM - 88.5.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

Offline

Live Video