All Blog Posts (5,231)

Nikki Mbishi amjibu Nikki wa Pili

Jana kwenye ukurasa wa Instagrama wa @Cloudsfmtz waliposti mambo ambayo Nikki wa Pili aliyaandika ili kuwapa husia wasanii wanao kuja kuwa na style yao tofauti katika muziki huu wa Hip Hop pia alielezea ni kwa jinsi gani wasanii wa HipHop wa zamani ambavyo wamekuwa hawafanyi vizuri na mambo mengi alizungumzia kuhusiana na muziki wa Hip Hop…

Continue

Added by Clouds FM on May 5, 2015 at 2:30pm — 2 Comments

Diamond athibitisha kumvisha pete Zari

Added by Clouds FM on May 1, 2015 at 9:00am — No Comments

Diamond Platnumz kuzindua Tv yake kwenye Zari White Party,Mlimani City,Ijumaa hii

Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz anatarajia kuzindua tv yake kwenye Zari White Party itakayofanyika Ijumaa hii pande za Mlimani City,Mwenge,jijini Dar.…

Continue

Added by Clouds FM on April 28, 2015 at 4:00pm — No Comments

Madereva wa mabasi ya abiria kugoma tena wiki hii

Siku 17 baada ya madereva wa mabasi mchini kugoma na kutikisa nchi, Chama cha Wamiliki wa Mabasi yaendayo mikoani (Taboa) kimetangaza mgomo mwingine nchi nzima.

Mgomo wa Aprili 9, mwaka huu uliodumu kuanzia alfajiri hadi saa 7:00 mchana ulitikisa nchi na kuwaathiri abiria wengi waliokuwa wanasafiri kwenda… Continue

Added by Clouds FM on April 28, 2015 at 11:19am — No Comments

Yanga kunyakua kombe leo Taifa?

Yanga inashuka kwenye Uwanja wa Taifa leo jijini hapa ikisaka pointi tatu dhidi ya Polisi Moro zitakazowafanya kufikisha pointi 55 ambazo hazitaweza kufikiwa na mabingwa watetezi Azam FC wenye pointi 45 katika nafasi ya pili.

Katibu Mkuu wa Yanga, Dk. Jonas Tiboroha alisema kuwa wameandaa champagne na jezi za… Continue

Added by Clouds FM on April 27, 2015 at 2:15pm — No Comments

Yanga kunyakua kombe leo Taifa?

Yanga inashuka kwenye Uwanja wa Taifa leo jijini hapa ikisaka pointi tatu dhidi ya Polisi Moro zitakazowafanya kufikisha pointi 55 ambazo hazitaweza kufikiwa na mabingwa watetezi Azam FC wenye pointi 45 katika nafasi ya pili.

Katibu Mkuu wa Yanga, Dk. Jonas Tiboroha alisema kuwa wameandaa champagne na jezi za… Continue

Added by Clouds FM on April 27, 2015 at 2:14pm — No Comments

Baada ya Frolah Mvungi kujifungua,ajipanga kuachia filamu mbili

Baada ya kujifungua mtoto wa kiume aitwaye Afrika,mwigizaji wa filamu za Kibongo,Florah Mvungi amejipanga kuachia filamu mbili kwa mpigo.…

Continue

Added by Clouds FM on April 27, 2015 at 12:45pm — No Comments

Nilishawahi kuongea na Mangwea wiki moja kabla hajafa na akakubali nifanye naye collabo

Mshindi wa Airtel Trace music star Mayunga Malimi leo alifunguka kupitia interview yake aliofanya na Clouds Digital na kusema alishawahi kumwomba marehemu Magwea kufanya naye collabo na akakubali bila malipo yoyote ila kwa bahati mbaya baada ya wiki Magwea alifariki na ndipo alipo amua kumshirikisha Mr Blue…

Continue

Added by Clouds FM on April 20, 2015 at 6:30pm — No Comments

Balotelli ndiye mchezaji anayeongoza kwa kubaguliwa Ligi Kuu ya Uingereza.

Takwimu zimeripotiwa hivi karibuni na Kick it Out, zinaonesha kuwa Mario Balotelli ndiye mchezaji aliyebaguliwa sana katika ligi ya Uingereza, huku mchezaji huyo akipokea zaidi ya ujumbe 8000, asilimia 50 kati ya hizo zikiwa ni za kibaguzi.

Kick it Out wameripoti takwimu hizo za kushtua, ambao walibaini kwamba raia huyo wa Itali (Mario Balotelli) alilengwa sana katika mitandao ya Twitter huku mshambuliaji wa Arsenal Danny… Continue

Added by Clouds FM on April 20, 2015 at 11:45am — No Comments

Baada ya kuzushiwa kifo,Hussein Machozi asema ameamini thamani ya msanii huonekana akishafariki dunia.

Msanii wa Bongo Fleva,Hussein Machozi amefunguka na kusikitishwa na habari zilizoenea kuwa amefariki dunia baada ya kupata ajali ya gari mkoani Dodoma.…

Continue

Added by Clouds FM on April 16, 2015 at 3:34pm — No Comments

Baada ya kuzushiwa kifo,Hussein Machozi asema ameamini thamani ya msanii huonekana akishafariki dunia.

Msanii wa Bongo Fleva,Hussein Machozi amefunguka na kusikitishwa na habari zilizoenea kuwa amefariki dunia baada ya kupata ajali ya gari mkoani Dodoma.…

Continue

Added by Clouds FM on April 16, 2015 at 3:34pm — No Comments

Yamoto Band wanatamani mafanikio ya Diamond.

WASANII wa bendi ya Yamoto Band wameweka wazi kwamba hakuna msanii asiyependa kuwa na mafanikio kama ya Nasib Abdul (Diamond) anayezidi kung’ara katika muziki wake.…

Continue

Added by Clouds FM on April 16, 2015 at 11:27am — No Comments

Nay Wa Mitego,Diamond waingia studio kwa mara nyingine kufanya ngoma.

Staa wa Bongo Fleva,Nay Wa Mitego anatarajia kuachia ngoma yake mpya aliyomshirikisha Diamond Platinumz hivi karibuni. Akizungumza na Clouds FM, Nay alisema kuwa ngoma hiyo ameifanya kwenye studio za Free Nation kwa producer Mr.Tee Touch na kwamba jina la ngoma hiyo atalisema siku ambayo atakayoitambulisha ngoma…

Continue

Added by Clouds FM on April 14, 2015 at 2:30pm — No Comments

Dk Fenella: Wasanii jifunzeni muziki wa live

WAZIRI wa Habari, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara, amewataka wasanii mbalimbali nchini wajifunze muziki wa moja kwa moja ‘live’ ili wajijenge kimuziki.

Dk Fenella alitoa kauli hiyo usiku wa juzi, wakati akifunga shindano la Club Raha Leo, lililoanza Januari 17, mwaka huu, likiwa na wasanii 60 na… Continue

Added by Clouds FM on April 14, 2015 at 11:51am — No Comments

Ben Pol kuzindua video ya Sophia Jumapili hii

Mkali wa Bongo Fleva,Ben Pol anatarajia kuzindua video ya ngoma yake ya Sophia Jumapili hii pande za Maisha Club,jijini Dar. Video hiyo… Continue

Added by Clouds FM on April 13, 2015 at 2:46pm — No Comments

Blog Topics by Tags

Monthly Archives

2015

2014

2013

2012

2010

2009

© 2015   Created by CLOUDS FM - 88.5.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

Online

Live Video