Clouds FM
  • Male
  • Dar es salaam
  • Tanzania, United Republic Of
Share on Facebook
Share Twitter

Clouds FM's Discussions

JE NI KWELI?

Started this discussion. Last reply by Helga Wamra Mar 28. 20 Replies

.Continue

UJINGA NIII.....!!!

Started this discussion. Last reply by edith scosner Jun 24. 13 Replies

Malizia Hapo???Continue

BONGO FLAVA NA HIP HOP KUNA TOFAUTI?

Started this discussion. Last reply by Channing Donaghy Aug 2. 27 Replies

Funguka kuhusu hapoContinue

Gifts Received

Gift

Clouds FM has not received any gifts yet

Give a Gift

 

Clouds FM's Page

Latest Activity

Clouds FM's 6 blog posts were featured
Friday
Clouds FM posted blog posts
Friday
Clouds FM's 5 blog posts were featured
Thursday
Clouds FM posted blog posts
Thursday
Amanikabatelle liked Clouds FM's group XXL
Wednesday
Clouds FM's 4 blog posts were featured
Wednesday
Clouds FM posted blog posts
Wednesday
Clouds FM's 3 blog posts were featured
Tuesday
Clouds FM posted blog posts
Tuesday
emanuel vicent nguli liked Clouds FM's group Jahazi
Nov 14
Clouds FM's 7 blog posts were featured
Nov 14
Clouds FM posted blog posts
Nov 14
emanuel vicent nguli liked Clouds FM's blog post SHULE YA FILBERT BAYI ILIVYOTEKETEA KWA MOTO
Nov 13
Clouds FM's 4 blog posts were featured
Nov 12
Clouds FM posted blog posts
Nov 12
FaridaChimamy liked Clouds FM's blog post Amini alivyoagwa jana THT na sasa yupo chini ya kampuni nyingine inaitwa BME
Nov 11

Clouds FM's Photos

Loading…
  • Add Photos
  • View All

Clouds FM's Videos

  • Add Videos
  • View All

Clouds FM's Blog

WAKATI FELA ANA MPANGO WA KUMALIZA BIFU NA JUMA NATURE, NATURE ACHOMOA MCHONGO

Posted on November 21, 2014 at 2:30pm 0 Comments

Mkurugenzi wa kituo cha kukuza vipaji vya wasanii “Mkubwa na Wanae”, Saidi Fela ambaye pia ni kiongozi wa kundi la TMK Wanaume Family, kundi ambalo lilianzishwa mwanzoni mwa miaka ya 2000 baadaye likaja kuvunjika vipande viwili likazaliwa kundi la TMK Halisi chini ya Juma Nature, hiyo ilikuwa mwaka 2006.…

Continue

BILL COSBY ASHUTUMIWA KUWA MDHALILISHAJI.

Posted on November 21, 2014 at 12:00pm 0 Comments

Televisheni ya NBC imesitisha mradi wa kurusha kipindi cha mchekeshaji maarufu duniani, Bill Cosby baada ya kukabiliwa na shutuma zaunyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wanawake . Katika taarifa hiyo, kampuni imethibitisha kusimamishwa kwa kipindi hicho.

Siku ya jumanne kamouni inayotoa huduma ya vipindi vya video…

Continue

KAMPENI SERIKALI ZA MITAA KUANZA NOVEMBA 30

Posted on November 21, 2014 at 11:30am 0 Comments

KAMPENI kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, unaotarajiwa kufanyika kote nchini Desemba 14, mwaka huu zitafanyika kwa wiki mbili kuanzia Novemba 30.

Akizungumza jana Mkurugenzi wa Idara ya Serikali za Mitaa katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Khalist Luanda alisema sheria ya…

Continue

NYALANDU: TAARIFA ZA KUFUKUZA WAMASAI LOLIONDO NI UZUSHI

Posted on November 21, 2014 at 11:22am 0 Comments

SERIKALI imesema haina mpango, haifikirii na wala haijaidhinisha kuwafukuza Wamasai zaidi ya 40,000 walioko katika eneo la Loliondo mkoani Arusha.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu aliwaambia wanahabari hapa jana kuwa taarifa zilizoandikwa na vyombo vya habari vya nje likiwamo gazeti la The… Continue

Comment Wall (3 comments)

You need to be a member of CLOUDS FM - 88.5 to add comments!

Join CLOUDS FM - 88.5

At 12:22pm on June 6, 2014, Kaks said…
Watch "QTY - DNA official video KENYAN" on YouTube - QTY - DNA official video KENYAN: http://youtu.be/WIxPqW7P7aU
At 5:11pm on April 3, 2014, edgar deusdedith said…

At 4:30pm on November 26, 2013, Marilina Osah said…

Hi compliments of the day, you have got nice profile on here. Am marilina, i came across your profile on here and i found it interesting writing you, here is my email id, marilinaosah@live.com for more corresponed to know more about me thanks. Have a nice day. Mari.

 
 
 

© 2014   Created by CLOUDS FM - 88.5.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

Offline

Live Video