Listen, Clouds, FM, radio, LIVE, online, Mikocheni, Dar es salaam, Tanzania, 88.5

Listen Live

Comment

You need to be a member of CLOUDS FM - 88.5 to add comments!

Join CLOUDS FM - 88.5

Comment by Paul Lojau on September 9, 2014 at 8:41pm
Millard ayo ee bwana niko +254 naingia online siwapati na tayari nimejiunga na the people station tz nisaidieni niwapate online kaka pamoja sana napenda kusikiliza amplifaya sana na millard.sports xtra na shaffii dauda na pia alla za roho.
Comment by Cephas on August 25, 2014 at 8:34am

Naitwa Cepha natokea Kia airport hapa. Clouds inasumbua kwa fm so kuwapata ndo kama hivi kwa livestream. Nadhan Itakua poa mkirekebisha hilo mazee. Otherwise mko poa sana.

Comment by JAFAR RAJAB on August 8, 2014 at 7:04pm

sambaza upendo, nyoosha mikono juu kwa upendo!

Comment by JAFAR RAJAB on August 8, 2014 at 7:03pm

China hapa, Clouds mpo juu! sasa Bunge Maalum la Katiba ndo issue!

Comment by Abby Thabit on July 20, 2014 at 6:37pm
Tupo pamoja.
Comment by chiyumbe mpuruti on July 20, 2014 at 8:49am

Clouds Mko juu Mbaya,

Comment by chiyumbe mpuruti on July 20, 2014 at 8:49am

hi

Comment by jasica on July 8, 2014 at 10:58pm
Comment by Frank Malulu on June 11, 2014 at 2:19pm

connected from Eldoret ,Kenya

Comment by pettie on June 9, 2014 at 4:56pm
Imerudi thanx
Comment by pettie on June 9, 2014 at 4:52pm
In korea imekata gafla sisikii tena my lovely station clouds fm
Comment by pettie on June 8, 2014 at 9:02am
Naipata vyema cloudsfm south korea
Comment by ben youngson on May 25, 2014 at 8:52am

ebana mbona kama online msimu huu mmezingua.guangzhou china hapa kitu hakisomek wakuu!

Comment by Tonny Fred Mollel on May 7, 2014 at 10:07am

Mna boa bana hatu wapati pande za moshi.

Comment by Amour Adeyoum on April 30, 2014 at 2:02am
Ok aje ndugu zng Galas pande za saudia rabia
Comment by Shabani Lameck on April 23, 2014 at 9:28am

Naomba kufahamu siipati clouda live online naomba msaada.

Comment by CHARLES NDEBILE STEVEN on March 25, 2014 at 5:20pm

clouds mmetuwekea ki2 kizuri xna on line kwani wengine tupo mbali xo kusikiliza on line imeturahisishia xna lkn mwingine mtandao inakuwa ni shida

Comment by mallesa mussa on March 20, 2014 at 12:38pm

mashaka sometimes hampatikani kabisaaa

Comment by Deogratias Gilbert Luena on March 9, 2014 at 12:12pm

Count down noma thanaaaaaa...aiseeee

Comment by Sospeter BAITWA on March 3, 2014 at 6:35pm

Clouds FM inapendeza.., Jahazi tuko pamoja hadi mwisho.., 

© 2014   Created by CLOUDS FM - 88.5.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

Offline

Live Video