Information

Jahazi

Website: http://www.cloudsfm.co
Location: Clouds FM
Members: 32
Latest Activity: Jul 15

Discussion Forum

This group does not have any discussions yet.

Comment Wall

Comment

You need to be a member of Jahazi to add comments!

Comment by jiajiagg on March 30, 2016 at 5:56am
Comment by junxia zheng on September 4, 2015 at 12:09pm
Comment by Roberto Mayene on January 16, 2015 at 7:29pm
Habari Sana Jahazi,
Kuhusiana na suala la michepuko, no kweli kwa 90% ya wanaume wanaochepuka huamini kwamba wanakuwa na a man I ya roho pindi wawapo na wapenzi wao. Hii kwangu naona ni jambo la kisaikolojia zaidi kufikia kujiskia amanI awapo na mchepuko.
Comment by FAKHRU ISSA on December 19, 2013 at 6:22pm

Assalam alykum wana Jahazii,

Naamini leo Tumeamka salama ndio maana tupo ndani ya mjengo kwa sasa

Lakini leo nataka niwaeleeze kuhusu ndoto yangu kuhusu ile khadithi ya Baba mwenye watoto watano ni khadithi tuliyoisoma kule kijijini kwetu enzi zile za Mwalimu wa Upe. alitukhadithia akiseama Pale zamani palikuwapo na mzee mmoja  aliyeitwa TAN na mwingine aliitwa ZAN Lakia wazee hawa walikua marafiki wakweli kabisa hadi kufikia hatua ya kuchukuliana wapenzi,

ila siku moja mzee Tan alimwambia mwenzie Zani kua ametokea kumpenda bint mmoja jina lake ni A Mzee Tan alimdadisi sana mzee mwenzie kuhusu Uzuri wa Binti yule na maadili, na Familia, na juu ya magonjwa ya ukoo wake. Mzee ZAN hakua msiri juu ya mzee mwenzie alimpa sifa zote siotahiki na urembo uliotukuka, alimweleza kuwa Bint yule hakua mpenda ZAWADI, wala RUSHWA, hakua ADUI wa yeyote, alicheka na kutabasam siku zote kulingana na jinsi ulivyo mueleza jinsi unavyoweza kuimba hasa nyimbo za MAPENZI na utenzi wa SHABAN ROBART. Alikua ni Bint mfalme ambae Himaya ya baba yake ilipambwa kwa vito vyote vya thamani, pembezoni mwa Shamba la baba yake ilipita Mito iliyojaa samaki wa kila rangi, Parikua na bustani iliyojaa wanyama wa kila taifa. Ila Mzee Zan alimueleza mzee mwenzie juu ya uwazao wa mfalme kuwa mfalme alikua mpenda vimwana wakila rangi kitu kilichomfanya azae watoto wa haram ambao walirithi tambia mbovu kutoka kwa viumbe wengine wa ajabu kwani watoto wale walipenda RUSHWA, NGONO, Istoswalikua ni watoto wazembe ambao walifanya kazi siku zote kwa kuangalizia maarufu kama kukopy na kupest. Watoto hawa hawakua na huruma yoyote juu ya watoto wa MASKINI. walihamisha kila kizuri walichokiona juu ya nchi nakukipeleka kusikojulikana. waliweza kuhamisha hata wanyama hai na wale waliokufa walihamisha Mifupa yao. Hao walikua hatari kweli juu ya nchi miili yao ilikua ya binadam lakini loho zao hazikua za Binadamu, waliofanya mapenzi ndani ya nyumba Takatifu ambayo kila mmoja aliiheshim lakini wao waliziniana pasina aibu, Waliweza kuwatukana watwana kwa kuwaita wendawazimu, wakawaita wajakazi machangudoa, wakawafundisha watoto wa nchi ile ya mfalme kuimba badala ya kufikiri na kujisomea. Hakika hawa walijaa kila aina ya maoovu

Basi subirini ni kohoe  kidogo kisha ntarudi kwa ajiri ya kuwamalizia kisa hiki watoto wazuriiiiiiiiiiii. au siyo Kamata fursaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Comment by Immar Alfreds on March 15, 2013 at 12:50pm

u guud!!

 

Members (32)

 
 
 

© 2016   Created by CLOUDS FM - 88.5.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

Offline

Live Video