Photos

Loading…
  • Add Photos
  • View All

Music

Loading…

Videos

  • Add Videos
  • View All

Badge

Loading…
 

Blog Posts

Kama wewe upo Kahama hii inakuhusu...

Posted by Clouds FM on August 17, 2014 at 12:30pm 0 Comments

HIVI NI BAADHI YA VITUO VINAVYOUZA TIKETI ZA SERENGETI FIESTA KAHAMA KUANZIA MUDA HUU:

Uwanjani kutakuwa na gari moja, Bijampora kutakuwa na gari moja, Fantoni kutakuwa na gari moja, Stendi kuu kutakuwa na gari moja, Galaxy/Social/Chila kutakuwa na gari moja.

TAADHARI:

Kinywaji cha aina yeyote…

Continue

DIAMOND:MARAFIKI NDIYO WANAOMPOTEZA WEMA SEPETU

Posted by Clouds FM on August 15, 2014 at 2:47pm 0 Comments

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' amemtupia vijembe mpenzi wake Wema Sepetu kupitia ukurasa wake wa Instagram usiku huu akionekana kuchukizwa na tabia ya staa huyo kupenda maisha ya starehe zisizo na faida.…

Continue

HOFU YA UGAIDI KENYA YASABABISHA TUNDA MAN KUFUNGWA PINGU

Posted by Clouds FM on August 14, 2014 at 3:30pm 0 Comments

Kutokana na mfululizo wa matukio ya kigaidi nchini Kenya, ulinzi umeongezeka maradufu kuhofia mashambulizi ya ghafla yanayofanywa na magaidi wanaotumia silaha za kivita, sasa weekend iliyopita mjini Mombasa,Kenya Captain Tunda Man kutoka kundi la TipTop Connection anawekwa chini ya ulinziwa polisi huku akiwa amefungwa…

Continue

HALI YA AFANDE SELE SI NZURI BAADA YA KUFIWA NA MAMA WA WATOTO WAKE

Posted by Clouds FM on August 14, 2014 at 3:00pm 0 Comments

Msanii wa Bongo Fleva,Afande Sele hali yake imekuwa mbaya baada ya kufiwa na mzazi mwenziye Asha Mohamed’Mama Tunda’. Msanii huyo…

Continue

TASWIRA YA MJI WA KAHAMA LEO WAKAZI WA MJI HUO WAJIANDAA NA FIESTA

Posted by Clouds FM on August 14, 2014 at 12:00pm 0 Comments

Taswira ya mji wa Kahama leo hii,wakazi wa mji huo wajiandaa na tamasha la #Serengetifiesta2014 Jumapili hii pande za Kahama Stadium kwa mtonyo wa buku tano tu.#Nisheedah.…

Continue

MGANGA WA KIENYEJI AUAWA KWA RISASI, MAPANGA

Posted by Clouds FM on August 14, 2014 at 10:30am 0 Comments

Watu wasiofahamika wamemvamia na kumuua mganga wa kienyeji, Salehe Garimoshi (65), mkazi wa Kijiji cha Milala wilayani Mpanda kwa kumpiga risasi kichwani kisha kuukatakata mwili wake kwa mapanga.

Taarifa kutoka eneo la tukio, zilizothibitishwa na Jeshi la Polisi zinadai kuwa baada ya mganga huyo kuvamiwa na watu…

Continue

ASKOFU ATUPWA JELA MIAKA 32 KWA UJAMBAZI BENKI

Posted by Clouds FM on August 14, 2014 at 10:30am 0 Comments

Askofu wa Kanisa la Christian Fellowship Assemblies of God la Arusha, Jumanne Kilongola amehukumiwa kifungo cha miaka 32 jela baada ya kupatikana na hatia ya kupora Sh5.3 bilioni ndani ya Benki ya NBC, Tawi la Moshi Mei 21, 2004.

Katika hukumu hiyo iliyotolewa jana na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu…

Continue

Events

 
 
 

© 2014   Created by CLOUDS FM - 88.5.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

Online

Live Video